Cristiano Ronaldo amefunga magoli matano peke yake jana tena bila hata moja kwa penati, na imempa sifa sana.
Lakini nataka kukujuza hapa kuwa yeye si wa
kwanza kwenye historia ya Lig Kuu ya Hispania kufunga magoli hayo matano
kwenye mechi moja bila hata penati moja.
Wapo wachezaji watano waliowahi kufunga magoli matano kwenye mechi moja bila hata penati moja kwenye Ligi Kuu ya nchi hiyo.
Hii ndio Orodha yao;
1] 1960 – Eulogio Martinez
2] 1961 – Ferenc Puskas
3] 1979 – Krankl
4] 1995 – Bebeto
5] 2002 – Morientes
6] 2015 – Cristiano
1] 1960 – Eulogio Martinez
2] 1961 – Ferenc Puskas
3] 1979 – Krankl
4] 1995 – Bebeto
5] 2002 – Morientes
6] 2015 – Cristiano
No comments:
Post a Comment