Baadhi
ya majina ya nyota ambao klabu hiyo imepanga kuwanyakua kwa gharama
yoyote ni pamoja na Mbrazil Phillipe Coutinho, nyota wa England Raheem
Sterling pamoja na Jordan Henderson.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa klabu hiyo amesema wamepanga kutumia
mamilioni ya fedha kununua wachezaji wapya watakaoongeza nguvu ndani ya
timu hiyo
No comments:
Post a Comment