04 April, 2015

Rapa Kendrick Lamar ametoa video mpya iliyofanyika mitaa ya kwao “King Kunta”,itazame hapa



Rapa Kendrick Lamar  ametoa video mpya ya “King Kunta” iliyotayarishwa na director  X iliyofanyika kwenye mitaa aliyozaliwa ya Compton. Album yake mpya To Pimp a Butterfly bado ipo namba moja kwenye chati za Billboard 200 ambayo mpaka sasa imeuza kopi 447,000.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...