Mwanamuziki mwenye tuzo la kimataifa
Akon amesema kuwa hakuna hata mwanamuziki mmoja wa Kenya ambaye
amemuomba kufanya naye 'kolabo'mara zote tano ambazo ameweza kuzuru
Kenya.
Akon Hatahivyo ameliambia jarida la Mondayblues nchini
Kenya kwamba wasanii wa muziki barani Afrika pia wanafaa kuimarisha
viwango vyao ili kutoa changomoto kwa wasanii kama yeye ili kuweza
kushirikiana nao.Tamko la msanii huyo linajiri kufuatia madai kutoka kwa wanamuziki wa Kenya kwamba hayuko tayari kufanya nao Kazi.
No comments:
Post a Comment