Mahali pekee utakapopata habari za Burudani,Michezo,Urembo udaku na Kuelimika
07 August, 2016
New Music: Chin Bees – Zuzu
Kwa siku kadhaa za hivi karibuni, msanii huyu amekua akisikika vilivyo kwenye ngoma mbali mbali akiwa ameshirikisha kama vile ngoma ya Sweet Mangi yake Nick wapili. Safarii hii jamaa kausimamia mzigo peke yake na ngoma inakwenda jina la Zuzu iliyotayarishwa na Young Keezy na Luffa katika studio za Switch Records. Bofya HAPA kuushusha wimbo huo. AU
No comments:
Post a Comment