Timazama collection mpya ya nguo za Martini Kadinda.

Wengi tunamfahamu martin Kadinda kwa ubunifu wa mavazi hapa nchini hasa kwa zile suti mahiri za single Button ambazo ndizo zilizomfanya kujulikana zaidi katika ulimwengu wa mitindo. Mnaomo June 7 alizindua Collection mpya ya nguo zake huko nchini Africa ya Kusini katika uwanja kimataifa wa mpira Cape Town.

Collection hiyo kaipatia jina la MWANANA, ambapo amezsipatia jina hilo baada ya kusherekea upepo mwanana unaopatikana katika fukwe za Bahari ya Hindi ambapo umekuwa kivutio kikubwa cha watalii hapa nchini. Kadinda2Kadinda3Kadinda5

Comments

Popular posts from this blog

Viashiria 6 ni kwa nini unatakiwa kubadili Maisha yako Leo

Furaha ya kweli inaletwa na wewe mwenyewe.