08 July, 2016

New Video: Yemi Alade ft Sauti Sol – Africa

Kutoka Nigeria mpaka Kenya ni Yemi Alade akiwa na wakali wa muziki huko Kenya Sauti Sol wametuletea Video yao mpya inayokwenda kwa jina la Africa. Tangu  Coke-studio watu hawa wamekua wakiwapa mashabiki wao burudani ya kutosha na safari hii wanazidi kutoa burudani ya kiwango kile kile. Enjoy.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...