09 July, 2016

Mlinda lango wa Arsenal Petr Cech ametangaza kuwa amestaafu katika soka la kimataifa.


Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 ndiye mchezaji aliyelichezea sana taifa lake kupitia mechi 121 alizoshirikia tangu aanze mwaka 2002.

Alikuwa miongoni mwa wachezaji wa kikosi cha Czech ambacho kilifika nusu fainali ya Euro2004 kabla ya kushindwa na mabingwa Ugiriki.
''Nilipokuwa mtoto,ndoto yangu ilikuwa kuchezea timu ya taifa hata japo mara moja,aliuambia mtandao wa Arsenal.''Baada ya kushiriki mara nyingi naona fahari'',alisema Cech.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...