20 June, 2016

Iggy Azalea na Nick Young Waachana

Rapper maarufu Iggy Azalea amemwaga mpenzi wake wa muda mrefu Nick Young. Iggy katumia social Media kutangaza jambo hilo nakusema..
 "Unfortunately although I love Nick and have tried and tried to rebuild trust in him - It's become apparent in the last few weeks that I'm unable to." 
Miezi michache iliyo pita Nick Young alirekodiwa video ya siri inayo mwonyesha akila Uroda na mwanamke mwingine ila Iggy Azelea baada ya kuona hivyo, alizidi kumpatia jamaa huyo nafasi nyingine licha ya kuumia na jamaa huyo kazidi kucheat na Iggy kaamua kumwaga ( yamemfika hapaaaa).
Iggy anasema...
"It's never easy to part ways with the person you planned your entire future with, but futures can be rewritten and as of today mine is a blank page."

TMZ imeripoti.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...