20 May, 2016

Video: Alikiba – Aje

Huu umeonekana ni mwaka wa mafanikio kwa msanii Alikiba, na hii imekuja baada ya Yeye jana kuingia mkataba na kampuni kubwa ya Sony ambapo sasa atakua chini ya kampuni hiyo akiwa pamoja na Chriss Brown na wakali wengine wa kimataifa ambao wako chini la Sony.

.(Tumpongeze Kijana wetu). Hii hapa video yake inayo kwenda kwa jina la "AJE" ikiwa imeongozwa na Mejji Alabi.kama bado hujaitizama, chukua time yako kuitizama video hiyo hap chini Kisha share na wana kitaa kusambaza upendo.
No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...