Barcelona
imezidi kujiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa kombe la Ligi Kuu ya
Hispania kwa msimu mwingine baada ya kuibuka na ushindi wa goli sita kwa
bila dhidi ya Getafe.
Magoli ya
Barca yalifungwa na Victor Rodriguez aliyejifunga dk. 8, Haddadi dk.
19, Neymar dk. 32, 51, Lionel Messi dk. 40, Arda Turan dk. 57.
Baada ya
ushindi huo Barcelona imefikisha alama 75 na kuwa mbele kwa alama nane
na timu inayoshika nafasi ya pili ya Atletico Madrid. Tazama Vido hiyo hapo chini
No comments:
Post a Comment