12 March, 2016

New video: "unconditionally bae" Sauti sol ft Alikiba

Wakali wa muziki kutoka Kenya  Sauti sol wakishirikiana vyema na Mkali kutoka Tanzania namzungumzia Alikiba wametuletea video ya wimbo unaokwenda kwa jina la "unconditionally bae"
Tazama video hiyo hapo chini kwa Kubonyeza kitufe cha PLAY.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...