New Audio: Ben Pol-- Nitafanyaje remix

Ben Pol leo kaachilia ngoma yake ya  'Nitafanyaje' ikiwa ni remix ambayo kamshirikisha mwimbaji kutoka Nigeria VJ Adam  na G-Nako kutoka weusi. Chukua time yako kuiskiliza nyimbo hiyo na kisha mshirikishe mshkaji wako.

Comments

Popular posts from this blog

Viashiria 6 ni kwa nini unatakiwa kubadili Maisha yako Leo

Furaha ya kweli inaletwa na wewe mwenyewe.