08 February, 2016

NEW: LADY QUEEN ft ENOCK BELLA -“CHUNGA MZIGO WAKO” (OFFICIAL VIDEO)

Mwimbaji wa kike wa muziki wa bongo fleva Lady Queen ambaye anatamba na wimbo wa “Chunga mzigo wako” ft. Enock Bella ameachia video ya wimbo huo, ambayo inapatika hapa  video directed by Minzi Mims

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...