05 February, 2016

MICHEZO: Ligi kuu England kuendelea jumamosi


Ligi kuu ya soka ya England inatarajiwa kuendelea tena umamosi kwa michezo mbalimbali katika viwanja tofauti, Manchester City watakuwa wenyeji wa Leicester, Aston Villa watamenyana na Norwich city, Liverpool watawaalika Sunderland, Newcastle united dhidi ya West Brom, Stoke watakuwa wenyeji wa Everton,Swansea watawakabili Crystal Palace, Watford watakuwa wageni wa Tottenham, na Southampton watakuwa nyumbani dhidi ya West Ham.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...