Mcheza Tenisi Rafael Nadal amesema haviogopi Virusi vya Zika


Kabla ya Mashindano ya Rio Open yanayofanyika wiki hii Mcheza Tenisi Rafael Nadal amesema haviogopi Virusi vya Zika.  Nadal, 29, amesema “Ninantoka nje usiku. Siogopi. Sina shaka. Ikitokea ni bahati mbaya”
Brazil iko katika kiini cha mlipuko wa sasa wa Virusi vya Zika na tayari Shirika la Afya Dunia limeutangaza ugonjwa huo kama dharura ya Dunia katika upande wa Afya

Comments

Popular posts from this blog

Viashiria 6 ni kwa nini unatakiwa kubadili Maisha yako Leo

Furaha ya kweli inaletwa na wewe mwenyewe.