Rapa Nay wa Mitego amepata majibu makali kutoka kwa Ommy Dimpoz baada ya rapa huyu kutumia wimbo wake mpya kumdiss Ommy Dimpoz.
Kwenye wimbo huu wa ‘Shika Adabu Yako’ Nay wa Mitego anadai kuwa Ommy Dimpoz ni SHOGA.
“Huyu jamaa anajiita Dimpoz, Pose kwa Pose, Wanae wanalalamika hawamjui shemeji, Kitaani kuna tetesi mwana hapigi mechi, Mara oh jogoo hawiki, huwa haonyeshi shemeji”
Baada ya kauli hiyo, Ommy Dimpoz kupitia instagram ameandika hivi….
” Barua
ya wazi kwa Neema wa Mitego kwanza pole kwa Malezi ya Watoto ambao mama
zao wamekukimbia, hakuna Mwanamke ambae anaweza kuishi na mwanaume
mwenye tabia za kike kama zako
inatakiwa ujiulize una tatizo gani maana km umaarufu mavi unao,nyumba
unayo,magari unayo na hivyo ndo vitu dada zetu wanapenda lakini kwanini
wanakukimbia pili kila nikiwaangalia watoto naona kabisa hamjafanana
kuna umuhimu wa DNA Da Neema trust me. Hiyo video nimekuwekea hapo juu
ni kukuonyesha kuwa mimi na wewe Ligi zetu hazifanani
vitu navyokula mimi wewe utaishia kuviona kwenye TV maana kuvipata
mpaka uwe Unapanda sana Ndege sasa mimi najaza passport ya Tatu wakati
wewe hata kurasa 4 za passport yako ya kwanza hujamaliza
Sasa wewe ushazoea wanawake zako wa jumuiya basi unataka kila mtu apost
demu wake haya sasa Chuma hiko kimetoka ulaya kuja kufuata dodoki nimekujibu ili nikusaidie promo ya nyimbo yako Atleast upige na Vishoo baba
Sema nakuomba usirushe ngumi tu maana nakujua Mzee wa Kupanic Maana
katika hao mabebi mama wako kuna mmoja nilishapitaga nae Uliza vizuri
atakwambia kama jogoo anawika au vipi Ukitaka kudownload wimbo wa @naytrueboy #ShikaAdabuYako nenda kwenye bio ya Da Neema “
No comments:
Post a Comment