05 February, 2016

Hii ndio Club ambayo Ander Herrera atakwenda pindi atakapo ihama United

ander Herrera
Ander Herrera ameweka wazi kuwa siku moja angependa kuja kuichezea klabu ya Boca Juniors wakati atakapoachana na klabu ya Manchester United.
Herrera ameongeza kuwa kabla ya kwenda Argentina, angependelea kurudi kunako klabu yake ya zamani ya Real Zaragoza kabla ya umri wake kumtupa mkono.
“Kama siku moja napata fursa ya kucheza Amerika ya Kusini, basi ningependelea zaidi kucheza katika klabu ya Boca.
“Uwepo wa Marcos Rojo pia hunifanya kuwa na shauku zaidi ya kwenda kucheza huko.”

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...