08 February, 2016

DR Congo mabingwa wa CHAN


Timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetwaa ubingwa wa kombe la Chan baada ya kuichapa Mali kwa mabao 3-0. Magoli ya ushindi yalifungwa mchezaji Mechak Elia aliyefunga mara mbili, huku mshambuliaji Jonathan Bolingi akifunga bao moja.
Na huu ni ubingwa wa pili kwa timu ya taifa ya Dr Congo chini ya mwalimu Florent Ibenge kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani. Nayo timu ya taifa Ivory Coast imemaliza katika nafasi yaa tatu katika michuano hiyo baada ya kuichapa Guinea kwa Mabao 2-1.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...