14 February, 2016

Audio+VIDEO>> Beka Ibrozama - "You and I"


Beka Ibrozama  ametuletea zawadi ya VALLENTINE DAY - +You and I" ambayo kaimba kwa lugha nne tofauti yaani  Indian, English, Swahil and Lingala ambazo zote anaongelea LOVE(MAPENZI) 
Tzama video hiyo hapo chini
Pia Sikiliza nyimbo hiyo{Audio} hapo chini na dowload nyimbo hiyo HAPA

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...