20 January, 2016

video mpya ya Tyga ‘I $mile, I Cry’ itazame hapa.

cairo-tygaHii video mpya ya rapa Tyga ‘I $mile, I Cry’ kutoka kwenye mixtape yake ya Rawwest Nigga Alive. Kwenye video anaonekana mtoto wake wa kiume King Cairo.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...