20 January, 2016

Video: hapa Mzee Yusuph pale Vanessa Mdee kwenye collabo, ‘Mashallah’


Hii ni collabo yenye mchanganyiko wa fleva, mkali wa taarabu Mzee Yusuph katudondoshea mdundo wake mpya ‘Mashallah ndani ya wimbo yuko mrembo pia mwenye jina la uzito wake Bongoflevani, Vanessa Mdee.
Video yao imenifikia na unaweza kuicheki hapa

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...