Rapa Rick Ross ameongelea kufanya remix ya wimbo wa Hello wa Adele nakusema “Nampenda sana Adele na nikikutana naye nitambusu, Adele anaongea kwa niaba ya watu wengi, nikisikia sauti yake lazima nisimamisha nachofanya, ana sauti ya kipekee sana“.
Rick Ross pia ameongelea beef ya Meek Mil na Drake nakusema anapenda tu ushindani kama shabiki na kwamba ameshukuru haijafika kwneye kiwango cha BIG na 2 Pac.
No comments:
Post a Comment