08 January, 2016

NEW: OLAND – ‘YOU ‘RE MINE’

New msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Mbeya, Tanzania ‘lusajo Oland’ a.k.a Oland, amabye anadai kuwa na ndoto za kutaka kufanikiwa katika muziki hasa muziki wa Hip Hop Tanzania na kufikia level za Kimataifa, ameachia wimbo wake wa kwanza ambao unaitwa “You’re mine” Track Produced by Smart Jr katika studio za “Zion record” 2016.
Oland “Naweza sema wimbo huu umekuwa wimbo wangu wa kwanza na umenipa mwanga ambao ninaimani utanivusha kutoka apanilipo nakunifikisha sehemu fulani ya mafanikio”.
Hivyo basi ukiwa kama shabiki wa muziki wa hapa home Tz tumia dakika zako kadhaa kuisikiliza hii track hapa then ukimaliza tunakuomba uendeleze suport kwa ajili ya kukuza sanaa ya “Oland” Cheers 2016.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...