kwa inavyo onekana ni kwamba Crew imerudi tena pamoja! Drake, Wayne, Baby pamoja na wana wengine wamepiga picha wakiwa pamoja kwenye party ya kuukaribisha mwaka mpya. Katika akaunti ya Instagram anayomiliki Drake aliweka picha ifuatayo hapo chini 
NIO BEEF LIMEKATA
No comments:
Post a Comment