Kulikuwa na competition where people had
to vote kuamua nani awe most stylish man of the year 2015 and Kanye West
akashinda kwa kura nyingi mnoo 520,119.But Kanye amesaidiwa sana na the
Kardashians ambao huko Tweeter wana millions of followers so time ya
mwisho Kim ,Khloe na Kriss Jenner walipush even harder kwa Fans wazidi
kuvote na tunawajua wanavyopendwa.Namba mbili ilishikwa na model Lucky
Blue kwa kura 445,073.
Kanye ana deserve huu ushindi maana kati
ya mwaka Kanye amenyanyuka kwenye issue za Fashion basi ni mwaka huu
ambao personal style yake tu imekuwa kivutio kwa wengi,Uzinduzi wa raba
zake za Adidas Yeezy 350 ambazo ndo zimeshinda shoe of the year kwa
mwaka huu,Kingine ni Fashion show yake kwenye New York Fashion Week
ambayo ilikuwa successful.
Season Two ya collection yake ya Yeezy
Yeezy Boosts
No comments:
Post a Comment