Bryson Tiller mwaka 2015 ulikua wa mafanikio kwake ambapo aliweza kujipatia mashabiki wengi na pamoja na album yake kua katika chati kubwa kubwa pamoja na single yake ya “Don’t” ambayo ilipokelewa vizuri. Tiller ameelezea kua mafanikio yake kimuziki mwaka 2015 yamebadili maisha yake kiujuma na hii ikamuwezesha kuwa katika hali nzuri kifedha.Tell Drake to throw me on the remix. We both know that’ll never happen,”
The remix may not happen but a collaboration may. Bryson alipost picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa yeye pamoja na Drake. A$AP Rocky already said Tiller has all of the b***es. If he collaborates with Drake he may have even more.
Tunaamini wote kua collaboration iko karibu.
Bryson Tiller - How About Now (Freestyle)
No comments:
Post a Comment