Mtoto wa kiume wa Will Smith, Jaden Smith huwa hana mipaka kwenye kazi yake ya mitindo, Jaden ametupia gauni kwenye matangazo ya collection mpya ya nguo za wanawake ya Louis Vuitton ‘Louis Vuitton’s 2016 spring women’s collection.’
“Happy to introduce Jaden smith @christiaingrey in the new SS16 @louisvuitton ad campaign photographed bt Bruce Weber” Creative director wa Louis Vuiton, Nicolas Ghesquière aliandika kwenye Instagram
Collection ya nguo hizo za wanawake zilizinduliwa rasmi kwenye Paris Fashion Week.
No comments:
Post a Comment