31 December, 2015

Cheketua ya Alikiba yaongoza kuwa nyimbo iliyopakuliwa mara nyingi zaidi Mkito 2015


Mtandao wa kuuza nyimbo za wasanii Mkito umetoa orodha ya wasanii ambao nyimbo zao zimeongoza kupakuliwa mara nyingi zaidi kwenye mtandao huo mwaka 2015.
Wimbo wa Alikiba ‘Chekecha cheketua’ umeongoza kupakuliwa mara nyingi zaidi kwa upande wa nyimbo zote zilizowekwa kwenye mtandao huo, umepakuliwa mara 47,000 ikifuatiwa na ‘Mpaka nizikwe’ ya Yamoto Band iliyopakuliwa mara 34,000 na ‘Nobody but me’ ya Vanessa Mdee iliyopakuliwa mara 33,000.
Hii ndio orodha kamili ya nyimbo zilizopakuliwa mara nyingi zaidi kwenye mtandao wa Mkito 2015
Top 5 Bongo Fleva
1. Alikiba – Chekecha Cheketua
2. Ney wa Mitego  & Diamond – Mapenzi au Pesa
3. Alikiba & Christian Bella – Nagharamia
4. Mo Music – Nitazoea
5. Ruby – Na yule
Top 5 HipHop
1. Safari – Nikki wa pili Feat. Joh Makini, Gnako, Nahreel,Jux, Vanessa Mdee & Aika
2. Viza – Navy Kenzo
3. Baba swalehe – Nikki wa Pilli
4. Don’t Bother – Joh Makini Feat. Aka
5. Nusu Nusu – Joh Makini

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...