02 September, 2015

Shilole naye ajichora tattoo ya jina la Nuh Mziwanda 'Nuh Baby

Baada ya Nuh Mziwanda kusemwa na wengi juu ya kujichora tattoo ya jina la mpenzi wake, Naye Shilole kaamua kujichora na kuandika 'Nuh Baby'.

Haya ndiyo aliyo yaandika Mziwanda "N dis is how ma baby girl respond it to Me 'thank you darling 'mapenzi yanaongea #familiesTattoo #Hadithi"

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...