WIMBO wa msanii kutoka nchini Nigeria, Ayodeji Balogun ‘Wizkid’ wa
‘Ojuelegba’, umeonekana kuzidi kufanya vizuri nchini Marekani kutokana
na mastaa mbalimbali barani Ulaya kuweka wazi kuupenda wimbo huo.Wasanii walioonyesha kuvutiwa na wimbo huo ni Drake, Alicia Keys, mpenzi
wake Swizz Beatz pamoja na mpenzi wa msanii wa hip hop nchini humo,
Tygar, Kylie Jenner ambaye ameweka video ya wimbo huo kwenye akaunti
yake ya Instagram.
30 August, 2015
‘Ojuelegba’ yake Wizkid yafanya poa nchini Marekani
WIMBO wa msanii kutoka nchini Nigeria, Ayodeji Balogun ‘Wizkid’ wa
‘Ojuelegba’, umeonekana kuzidi kufanya vizuri nchini Marekani kutokana
na mastaa mbalimbali barani Ulaya kuweka wazi kuupenda wimbo huo.Wasanii walioonyesha kuvutiwa na wimbo huo ni Drake, Alicia Keys, mpenzi
wake Swizz Beatz pamoja na mpenzi wa msanii wa hip hop nchini humo,
Tygar, Kylie Jenner ambaye ameweka video ya wimbo huo kwenye akaunti
yake ya Instagram.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
chukua time yako kuudowload wimbo huu wa Sunday Mjeda a.k. linex ngoma inakwenda kwa jina la KWA HELA
-
Mpenzi msomaji wa safu hii ni siku nyingine tunakutana katika kujuzana,kukumbushana, na kuelimishana mila na desturi za makabila mbalimbal...
-
This is a song sang by a very gifted woman Adele, I sang it to show world that everyone appreciate and love to enjoy good music! Asa...
No comments:
Post a Comment