Hand of God ndio jina maarufu la goli ambalo Maradona alifunga kwenye mechi ya kombe la dunia dhidi ya England. Lakini kwenye ile mechi refa hakuweza kuona kama Maradona alifunga lile goli kwa mkono, matokeo yake likahesabiwa kama goli halali.
Wiki hii Maradona akiwa Tunisia amemtembelea refa huyo anaitwa Ali Bennaceur. Walivyokutana ambapo refa huyo hivi sasa ana miaka 71 walipeana zawadi na Maradona alimpa jezi yenye maneno “Fro Ali, my eternal friend”.
Baadae ilichezwa mechi huko Tunisia kwenye uwanja wa Azteca kati ya maradona natimu yake dhidi ya Shilton na timu yake ambae alikua nahodha siku ambayo maradona alifunga goli hilo la mkoni
No comments:
Post a Comment