Mahali pekee utakapopata habari za Burudani,Michezo,Urembo udaku na Kuelimika
10 August, 2015
Jux kuachia track mpya hivi karibuni, amemshirikisha Joh Makini
Mkali wa RnB, Jux ametangaza kuwa hivi karibuni ataachia ngoma mpya,
inaitwa “Looking for you” na amemshirikisha Joh Makini kutoka Weusi,
Imetengenezwa na Producer Nahreal.
No comments:
Post a Comment