17 August, 2015

Jermaine Dupri amerudi kwenye muziki,yuko na Bow Wow kwenye video ya ‘WYA (Where You At?)’

jd-bow-wya
So So Def imerudi kwa kusnidno mwaka huu. Jermaine Dupri na Bow Wow wamekutana tena kwenye video mpya ya “WYA (Where You At?).” Huu ni wimbo wa Jermaine Dupri Ft Bow Wow.
Wimbo upo kwenye album mpya ya J.D. The Dark Recesses of My Imagination, ambayo pia wameshirikishwa T.I., Nas, na Usher.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...