17 August, 2015

Jay Z alirekodi diss track kwaajili ya 2 Pac,iko wapi,nani kaisikia,Jayz kasemaje? viko hapa

jay-z-tupac
Kabla ya beef kubwa ya Nas na Jay Z, imeripotiwa kuwa palikuwa na beef kati ya Jay Z na 2 Pac.
Mtu wa karibu na Jay Z kikazi DJ Clark Kent amethibitisha kuwa palikuwa na wimbo wa Jay Z ambao ni diss kwa Tupac.
Clark anasema “Wimbo haukutoka kutokana na kifo cha 2 Pac, ulivyokamilika tu na kuwa tayari kutoka ,2 Pac alifariki,  ila Jay z aliufanyia show kwenye ukumbi mkubwa wa Apollo nchini Marekani, Jayz Alishindwa kuvumilia na akamua kufanyia show
Jay Z alithibitisha taarifa hizi mwaka 2006 kwenye jarida la XXL. ” ila Jay anasema hakurekodiwa akiimba wimbo huo na aliimba juu ya biti ya BLACKstreet “No Diggity” ,wakati naimba wimbo huo sijui kwanini waliacha kurekodi na watu 2000 tu ndio wanajua mashairi ya wimbo huo, ni vesi mbili tu

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...