Radio station ambayo zamani ilikua inajulikana kama ’92.7 WPZS’ imebadilisha jina na kujipa jina jipya ambalo ni jina la Rapper kutoka Canada, Drake. Radio hiyo ambayo mwanzo ilikua inapiga nyimbo za Gospel kwasasa inapiga nyimbo za Drake tu, au nyimbo ambazo rapper huyo ameshirikishwa.
Inasemeka kuwa drake mwenyewe ndio ameinunua radio hiyo ambayo ipo Charlotte, New York city japo inadaiwa kuwa ni kinyume cha sheria kwa raia ambaye sio wa Marekani.
No comments:
Post a Comment