10 August, 2015

Hemed Kumshirikisha Christian Bella kwenye Rmx ya ngoma yake “Imebaki Story”


Msanii wa Bongo Fleva na Filamu, Hemed Suleiman au Hemed Phd amefunguka kuwa atamshirikisha mkali wa masauti Christian bella kwenye Rmx ya track yake “Imebaki story” ambayo inafanya vizuri kwasasa.
Hemed amefunguka kuwa idea ya ngoma hiyo ni kuwa yeye ataimba kikongo na Christian bella ataimba kiswahili. Icheck original video ya hiyo ngoma

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...