13 August, 2015

Diamond Platnumz azungumzia maslahi kwenye muziki

diamond platnumz
Kwenye interview aliyofanyiwa na Xxl Diamond Platnumz amezungumzia kuwa tayari kufanya chochote kwenye muziki kikiwa na maslahi.
Diamond anasema alikubali kufanya show kwenye tamasha la ‘Kiboko Yo’ la Tigo lililofanyika Leaders Cluds Clubs baada ya kukubaliana na watayarishaji kulipwa pesa anayotaka.
Diamond alisema ” hapa katikati palikuwa na show mi nikawambia hii show ni biashara kwangu mi sikatai lakini you have to pay me, show mi nimelipwa milioni 100 ndio nimetumbuiza, siamini kama kuna msanii wa KiTanzania alishawahi kulipwa milioni 100, hili swala si umetengeneza kama beef , tuifanye biashara 2 Diamond aliendelea kusema Nchi kama Rwanda anaweza lipwa milioni 120, 130 ila ilikuwa mara ya kwanza Tanzania milioni 100, kwasababu ilikuwa beef na sio kwamba show haikulipa, ililipa kwasababu ilikuwa imeshatengeneza tensuon flani kwahiyo tuzitumie hizi vitu kimaslahi zaidi

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...