HUYU ANAITWA WINNIE HARLOW
ILA JINA WAZAZI WALILOMPA AITWA CHANTELLE BROWN ATOKEA CANADA JAPO
WAZAZI WAKE ORIGIN YAO NI HUKO JAMAICA.NI BINTI TU MDOGO MWENYE UMRI WA
MIAKA 20.
HUYU
MODEL ANAUGONJWA WAITWA VITILIGO (SKIN DISCOLORATION)WANASEMA UGONJWA
WAKE NI SAWA NA ULE WA MAREHEMU MICHAEL JACKSON.NA HUU UGONJWA ALIKUWA
NAO TANGU ANAMIAKA MINEE .
UGONJWA HUU WAMFANYA AWE NA NGOZI MBILI
KAMA MNVYOMUONA KWA PICHA.NGOZI INAKUWA INAKOSA RANGI AU KUPUNGU RANGI
NDO MAANA KUNA MAHALI MWEUPE PENGINE BROWN.
AKIWA NA MIAKA 16 SHANNON BOODRAM
JOURNALIST HUYU WA HUKO HUKO TORONTO ALIMDISCOVER CHANTELLLE NA KUSARE
STORY YAKE YOU TUBE NA VIDEO ILIPATA ZAIDI YA 150K VIEWS AKAWA FEATURED
NA DAILY MAIL PIA ACCESS HOLYWOOD
WINNIE ASEMA AKIWA MDOGO AMEKUWA KWENYE
MAZINGIRA YA KUWA BULLIED SANA KUITWA MAJINA KAMA NG’OMBE,ZEBRA NA
MAJINA MENGINE MENGI MABAYA.ALIJICHUKIA SANA MPAKA KUFIKIA KUWA NA
MAWAZO YA KUTAKA KUJIUA.ILA ALIDROP HIGH SCHOOL KWAKUWA BULLIES ZILIZIDI
BAADA YA HAPO ALIAMUA AUCHUKULIE UGONJWA WAKE KWENYE POSITIVE WAY NA
AUKUBALI NA AJIPENDE.
CHENTELLE ANAEJULIKANA KIKAZI KAMA WINNIE
ALIJULIKANA NA WENGI KUTOKA KWA CYCLE YA 21 YA AMERICAN NEXT TOP MODEL
LAKINI MARA YA KWANZA TYRA BANKS ALIMUONEA INSTAGRAMA NDO MAANA TWASEMA
TUMIENI SOCIAL MEDIA IN A POSITIVE WAY SASA MWENZENU HUYU ALIKUWA
DISCOVERED HUMO INSTA WE NI KUTUKANA TU WATU HUPATI FAIDA YOYOTE
ANGEKUTWA ANATUKANA ANGEACHWAA HAYA TUENDELEE ,BAHATI MBAYA KWENYE
SEOSON YA NNE CHANTELLE ALITOLEWA KWENYE MASHINDANO ILA ALIRUDISHWA
SEASON YA KUMI BAADAE ALITOKA AKIWA MSHINDI NAMBA SITA.
YES NGOZI YAKE IMEMFANYA AWE NA BONGE YA
CARRIER AND SHE IS LIVING HER DREAM ,UGONJWA WAKE NDO SIGNATURE YAKE
KULIKO KUKAA NDANI NA KUJIFUNIKA ALIAMUA KUTOKA NJE NA
KUJIPENDA,KUJIAMINI NA KUISHI MAISHA YAKE NA KUFUATA NDOTO ZAKE
.NAFIKIRI KILA MTU MWENYE BREAK POINT YAKE YAWEZA KUWA BREAKTHROUGH YAKE
PIA U JUST HAVE TO LOOK FO IT AND WERK IT.SASA MTU ANA KOVU LABDA
KUBWAA ANAJIFICHA KAMA NINI UKUTE NDO LITAKUTOA JUST SAYING.
HAKUACHA UGONJWA WAKE KUWA KIKWAZO BADALA
YAKE IMEKUWA NI FARAJA KWAKE.KWASABAU KILA MODELING
AGENCY,PHOTOGRAPHERS HUKO TORONTO WALIMREJECT HUYU DADA KABLA HAWAJAJUA
UZURI WAKE
BAAADA YA AMERICAS NEXT TOP MODEL MWAKA
2014 ALIPATA DILI LA KUINGIA MKATABA NA KAMPUNI YAA DESIGUAL BAADAE
ALIFUGA FASHION SHOW YA ASHISH/SUMMER 2015.
MWAKA HUU 2015 ALIFANYA TENA KAZI DIESEL
KAMPUNI NYINGINE ILOMPA SHAVU PIA NI DESIGUAL AMBAO HAWA IESEL WANA
CAMPENI YAO INA AIM TO IPROMOTE TOLERENCE,EQUALITY AND UNCONDITIONAL
LOVE.AMEKUWA PIA KWENYE NEW YORK FASHION WEEK
ALIKUWA FEATURED KWA i-D Magazine editorial yake iliitwa ”what makes you different makes you beautiful”
AME PLAY A ROLE KWA MUSIC VIDEO YA EMINEM GUTS OVER FEAR .
HAPA NI WINNIE NA TOP MODEL TYRA BANKS
KAMA KUNALINGINE WALIJUA ZAIDI TUJUZE KWNEY COMMENTS TAFADHALI.
BAADHI YA POSITIVE THOUGHTS TOWARDS HUYU MODEL CHANTELLE NA UGONJWA WAKE.
No comments:
Post a Comment