03 July, 2015

Rick Ross atoka sero kwa dhamani ya dola milioni 2.

Uross-bail
Rapa Rick Ross ameachiwa huru baada ya kuweka dhamana ya dola milioni 2 na mahakama kukubali mtuhumiwa atoke kwa dhamani hio. Rick Ross alikamatwa June 24 kwa kosa la kuteka na kushambulia mtu na kumsababishia majeraha mwilini.

Rozay ameweka Dola milioni moja kupitia nyumba yake aliyonunua kutoka kwa Evander Holyfield, dola laki tano kutoka kwa mdhamini wake  $500,000 na dola $500,000 kutoka kwake kwa pesa taslimu.

sisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...