06 July, 2015

Ata baada ya kuanzisha mahusiano mapya na watu tofauti Rihanna bado anakiri kuwa Chris Brown ndio penzi la maisha yake

Rihanna attends the 2014 CFDA Fashion Awards at Alice Tully Hall in Lincoln Center, New York City, NY, USA on June 2, 2014. Photo by Dennis Van Tine/ABACAPRESS.COM
Chanzo cha info hizi kimesema Rihanna amemwambia mpenzi wake mpya ambaye ni mwanasoka Karim Benzema kuwa bado anahisia za mapenzi kwa X wake Chris Brown.
Karim Benzema ’27’ ameonekana kuwa huru na wazi kuhusu Rihanna bila kujali kuwa bado anamkubali Chris Brown.rna karim
HollywoodLife.com wameandika Rihanna anampenda Karim sababu jama anatengenea mazingira mazuri ya penzi lao, Rihanna kamwambia Karim kuwa hatavunja moyo wake ila bado anampenda Chris Brown“. 

TUPATIE MAONI TAKO HAPA CHAINI 

Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...