12 July, 2015
Mkali mwingine aliyesajiliwa na Manchester United huyu hapa…
Klabu ya Manchester United imekamilisha usajili wa beki wa kulia wa Torino, Matteo Darmian baada ya kufuzu vipimo vya afya.
Mchezaji huyo ambaye ameichezea klabu yake mechi 146 na kuifungia mabao matano wakati akiwa na timu hiyo na sasa amekubali Mkataba wa miaka minne Old Trafford.
Kocha wa Man Luis Van Gaal amefurahishwa na ujio wa mchezaji huyo huku mwenyewe akisema ilikuwa ni ndoto yake kuichezea United.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...
No comments:
Post a Comment