Winga huyo alizivutia pia klabu za Chelsea na Manchester United, lakini Barcelona imeshinda mbio za kuwania saini yake baada ya kufikiana makubaliano.
Barcelona italipa Pound
Milioni 24 mbele na nyingine Pound Milioni 5 zitalipwa baadaye kufuatia
mchezaji huyo wa kimataifa wa Uturuki kusaini Mkataba wa miaka mitano.
No comments:
Post a Comment