22 July, 2015

BUSUNGU, MWASHIUYA, WAIPA YANGA USHINDI WA KWANZA KAGAME

Mshambuliaji wa Yanga Malimi Busungu akishangilia goli lakeMshambuliaji mpya aliyesajiliwa na klabu ya Yanga akitokea Mgambo JKT ya Tanga, Malimi Busungu, leo amefanikiwa kufunga magoli mawili kati ya matatu wakati Yanga ikicheza dhidi ya Telecom ya Djibouti kwenye mchezo wa Kundi A michuano ya Kagame Cup na kuifanya Yanga kuandika ushindi wa kwanza kwenye michuano hiyo inayozidi kuchukua sura mpya.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...