29 June, 2015

BET 2015 awards jana ilifika kilele na tuzo kutolewa, Haya ni majna ya washindi wa tuzo hizo na pia kuna Msanii wa Afrika aliyegoma kwenda kwenye tuzo za BET kwa makusudi

 Minaj
Tuzo za Bet zimetolewa Marekani, wasanii waliopokea na waliokosa, orodha yote iko hapa. Msanii wa rnb Chris Brown ni miongoni mwa wasanii waliofanya show kali kwenye jukwa la tuzo hizo, Nicki Minaj,Rihanna na Meek Mil Pia.

Best International Act UK:
FKA Twigs
Fuse ODG
Lethal Bizzle
Little Simz
Mnek
Stormzy- Winner
Best International Act Africa:
AKA
Stonebwoy- Winner
Sarkodie
Fally Ipupa
Sauti Sol
Wizkid
The Soil
Yemi Alade
Best Female R&B/Pop Artist:
Beyoncé- Winner
Janelle Monáe
Jhene Aiko
Ciara
Rihanna
K. Michelle
Best Male R&B/Pop Artist:
Chris Brown- Winner
Trey Songz
The Weekend
August Alsina
Usher
John Legend
Best Group:
A$AP Mob
Migos
Rae Sremmurd- Winner
Rich Gang
Young Money
Jodeci
Best Collaboration:
Chris Brown Ft. Lil Wayne and Tyga – “Loyal”
Big Sean Ft. E-40 – “IDFWU”
August Alsina Ft. Nicki Minaj – “No Love”
Chris Brown Ft. Usher and Rick Ross – “New Flame”
Common and John Legend – “Glory”- Winner
Mark Ronson Ft. Bruno Mars – “Uptown Funk”
Best Male Hip-Hop Artist:
Kendrick Lamar- Winner
Common
Big Sean
Drake
J. Cole
Wale
Best Female Hip-Hop Artist:
Azealia Banks
Dej Loaf
Iggy Azalea
Tink
Nicki Minaj- Winner
Trina
Video of the Year:
Beyonce – “7/11”- Winner
Big Sean Ft. E-40 – “IDFWU”
Chris Brown Ft. Lil Wayne and Tyga – “Loyal”
Chris Brown Ft. Usher and Rick Ross – “New Flame”
Common and John Legend – “Glory”
Nicki Minaj – “Anaconda”
Video Director of the Year:
Benny Boom
Beyonce, Ed Burke and Todd Tourso – Winner
Chris Robinson
Fatima Robinson
Hype Williams
Best New Artist:
Bobby Shmurda
Dej Loaf
Fetty Wap
Rae Sremmurd
Sam Smith- Winner
Tinashe
Best Gospel Artist:
Michelle Williams
Erica Campbell
Deitrick Haddon
Fred Hammond
Mali Music
Lecrae- Winner
Best Actress:
Gabrielle Union
Kerry Washington
Taraji P. Henson- Winner
Tracee Ellis Ross
Viola Davis
Best Actor:
Anthony Anderson
Idris Elba
Jussie Smollet
Kevin Hart
Terrence Howard- Winner
Youngstars Award:
Jacob Latimore
Jaden Smith
Mo’ne Davis- Winner
Quvenzhane Wallis
Zendaya Coleman
Best Movie:
“Annie”
“Beyond the Lights”
“Selma” – Winner
“Think Like a Man Too”
“Top Five”
Sportswoman of the Year:
Brittney Griner
Candace Parker
Serena Williams- Winner
Skylar Diggins
Venus Williams
Sportsman of the Year:
Chris Paul
Floyd Mayweather Jr.
LeBron James
Marshawn Lynch
Stephen Curry- Winner
Viewer’s Choice Award:
The Weekend –“Earned It”
Kendrick Lamar – “I”
Dej Loaf – “Try Me”
Rae Sremmurd Ft. Nicki Minaj and Young Thug – “Throw Sum Mo”
Beyonce –“7/11”
Nicki Minaj Ft. Drake, Lil Wayne and Chris Brown – “Only” – Winner
Centric Award:
Avery Sunshine – “Call My Name”
Jazmine Sullivan Ft. Meek Mill – “Dumb”
Mark Ronson Ft. Bruno Mars – “Uptown Funk”
Sam Smith Ft. Mary J. Blige –“Stay With Me”
The Weekend – “Earned It” -Winner

Msanii wa Afrika aliyegoma kwenda kwenye tuzo za BET kwa makusudiFuse ODG 2Kitendo cha BET ambayo ni Television kubwa ya Marekani kwenye ulimwengu wa burudani kuwapa Wasanii wa Afrika tuzo zao kwa time tofauti na tuzo wanazoshinda wasanii wakubwa wa Marekani kama Beyonce na Chris Brown kiliwahi kulalamikiwa na wengi akiwemo Ommy Dimpoz.

Hata Davido aliposhinda mwaka jana kwenye sehemu ya Interview Diamond alieleza kwamBaada ya hayo yote, mwimbaji staa Mwafrika ambaye makazi yake ni Uingereza FUSE ODG ametangaza wazi kwamba sababu za yeye kutokwenda kwenye tuzo hizo mwaka huu ni kwa sababu tuzo hizo hazitolewi sawa na za kina Beyonce.
Fuse ambaye alikua anawania tuzo kwenye tuzo hizi za BET mwaka huu amesema mambo ya kupeana tuzo backstage inaonyesha kabisa BET hawawaheshimu wasanii wa Afrika wanavyojituma kwenye kazi zao.
ba tuzo za wasanii wa Afrika huwa hazitolewi pamoja na zile za kina Beyonce, wasanii kwenye kipengele cha Afrika waliitwa asubuhi na mapema wakati ukumbi ukiwa mtupu bila watu ndio mshindi akakabidhiwa tuzo alafu badae jioni ndio kina Beyonce wakakabidhiwa kwenye event yenyewe lakini ukitazama kwenye TV huwezi kugundua sababu wanaunganisha kijanja.
Fuse ODG

 NA HIVI NI BAADHI YA MATUKIO YALIYOTENDEKA HAPO JANA
Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...