Rapa Big Sean amempiga mkwara msanii wa pop Justin Bieber baada ya msanii huyu kumbambia mpenzi wa rapa huyu ambaye ni mwimbaji Ariana Grande wakiwa kwenye show wakati wa ziara yake ya “Honeymoon Tour” mjini L.A.
Ariana Grande alifanya nyimbo mbili na Justin ambazo ni “Love Me Harder” na “As Long As You Love Me”.
Big Sean aliandika Twitter “This kid is about to learn not to touch my girl like that. Beliebe that.”
Mawerenewz.blogpot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa
habari za BURUDANI,MICHEZO,SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na
KITAIFA
Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate
twitter>>>@mawere3, facebook>>>Francis mawere the jr,
Instagram>>>Zawadi_mawere. AKSANTE.
No comments:
Post a Comment