Klabu ya soka ya Aston Villa ya
England inatarajiwa kumtangaza Steve Bruce kuwa meneja mpya wa timu hiyo
leo jumatano baada ya kumtimu kocha wake Roberto di Matteo.
Mmiliki na mwenyekiti wa Aston Villa, Dr Tony Xia, ameandika katika mtandao wa Twita, kuwa kocha huyo atatambulishwa na ni wakati wa kuwa pamoja na kuirejesha timu katika sehemu nzuri.
Villa wako katika nafasi ya 19 katika ligi daraja la kwanza (Champinship).Bruce amewahi kuvinoa vilabu vya Birmingham City, Wigan Athletic na Sunderland.
No comments:
Post a Comment