Kutoka WCB, Raymond anatuletea Video ya wimbo wake unakwenda kwa Jina la "Kwetu" ambapo audio ya wimbo huu teyari ilikwisha tambulishwa kwene hapo awali na kupokelewa vyema. Video imetengenezwa na Godfather Production Kutoka huko kwa mzee Madiba( Africa ya Kusini)
Chukua time yako kuenjoy Video hii ya mwanetu hapo chini Kwa kubonyeza PLAY!
Click Here!
No comments:
Post a Comment