Muda mfupi baada ya Mke wa Kanye west, Kim Kardashian kuweka picha akiwa pamoja na mpenzi wa zamani wa rapper huyo ambaye pia ni mama wa mtoto wa Wiz khalifa Amber rose, Kanye west aliweka Tweet kuwa ametoka kuzungumza na Wiz khalifa na wamemaliza tofauti zao.
Bifu yao ilianza baada ya Kanye west kubadilisha jina la Album yake kutoka Swish na kuiita waves.
Me and Wiz spoke yesterday. Great convo. All positive.— KANYE WEST (@kanyewest) February 2, 2016
No comments:
Post a Comment