10 January, 2016

VIDEO; Secret Interview ambayo mwigizaji maarufu marekan Sean Penn alimfanyia muuza mihadarati maarufu Duiani El Chapo


0109-sean-penne-el-chapo-01 

El Chapo ni moja ya most wanted men Duniani ambae anasifika duniani kwa kuuza mihadarati, ambapo alifanikiwa kutoroka jela miezi sita iliyopita.  Sean Penn alikua anafahamu fika mahalia atakapo mpata El Chapo ili aweze kufanya nae interview kwa ajili ya mtandao wa "Rolling Stone".

 Mwigizaji huyo alilazimika kupanda ndege ili aweze kwenda Mexico kukutana na mtoto wa  El Chapo ambapo mtoto huyo alimpeleka hadi alipo baba yake.

 Wakati wa  interview, Penn alizungukwa na walinzi 100 wa El Chapo na ndipo Elchapo akasema yeye anasambaza sana heroin, methamphetamine, cocaine and marijuana kuliko mtu yeyote Ulimwenguni.

  Hii ndio VIDEO ya interview hiyo ITAZAME

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...